MANISPAA YA DODOMA
YAPOKEA 'CONTAINERS' 60 ZA KUTUNZIA TAKATAKA ZITAKAZOSAMBAZWA KATIKA MITAA
MBALIMBALI IKIWA NI HATUA MUHIMU YA KUUWEKA MJI KATIKA HALI YA USAFI ZAIDI.
VIFAA HIVYO NI SEHEMU YA UTAKELEZAJI WA MRADI WA KUBORESHA MIJI TANZANIA
UNAOFADHILIWA NA BENKI YA DUNIA
No comments:
Post a Comment